1 Kings 20:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, nabii akaondoa harakaharaka kitambaa usoni mwake, naye mfalme akamtambua kuwa mmoja wa manabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule nabii akajifunua macho yake haraka, na mfalme wa Israeli akamtambua kama mmoja wa manabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya haraka akakiondoa kilemba machoni mwake, mfalme wa Israeli akamtambua kuwa ni mmoja wao manabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, nabii akaondoa harakaharaka kitambaa usoni mwake, naye mfalme akamtambua kuwa mmoja wa manabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule nabii akajifunua macho yake haraka, na mfalme wa Israeli akamtambua kama mmoja wa manabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule nabii akajifunua macho yake haraka, na mfalme wa Israeli akamtambua kama mmoja wa manabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya haraka akakiondoa kilemba machoni mwake, mfalme wa Israeli akamtambua kuwa ni mmoja wao manabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, nabii akaondoa harakaharaka kitambaa usoni mwake, naye mfalme akamtambua kuwa mmoja wa manabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipokiondoa upesi kile kitambaa machoni pake, naye mfalme wa Waisiraeli akamtambua, ya kuwa ni mmoja wao wafumbuaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya haraka akakiondoa kilemba machoni mwake, mfalme wa Israeli akamtambua kuwa ni mmoja wao manabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo, nabii akaondoa harakaharaka kitambaa kwenye uso wake, naye mufalme akamutambua kuwa mumoja wa manabii.