1 Kings 20:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mfalme wa Israeli akaenda zake nyumbani Samaria, amejaa chuki na huzuni nyingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa uchungu na hasira, mfalme wa Israeli akaenda kwenye jumba lake huko Samaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Israeli akaenda nyumbani kwake na moyo mzito, mwenye hasira, akaja Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mfalme wa Israeli akaenda zake nyumbani Samaria, amejaa chuki na huzuni nyingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa uchungu na hasira, mfalme wa Israeli akaenda kwenye jumba lake la kifalme huko Samaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa uchungu na hasira, mfalme wa Israeli akaenda kwenye jumba lake la kifalme huko Samaria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme wa Israeli akaenda nyumbani kwake na moyo mzito, mwenye hasira, akaja Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mfalme wa Israeli akaenda zake nyumbani Samaria, amejaa chuki na huzuni nyingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme wa Waisiraeli akaenda nyumbani kwake mwenye moyo uliokasirika na kuchafuka, akafika Samaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Israeli akaenda nyumbani kwake na moyo mzito, mwenye hasira, akaja Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mufalme wa Israeli akaenda zake kwake Samaria, akijaa chuki na huzuni nyingi.