1 Kings 20:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, kesho wakati kama huu, nitatuma watumishi wangu waje kuisaka ikulu na nyumba za watumishi wako, wachukue kila kitu unachothamini.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kesho wakati kama huu, nitawatuma maafisa wangu kukagua jumba lako la kifalme na nyumba za maafisa wako. Watatwaa kitu unachokithamini nao watakichukua.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini kesho kama wakati huu nitatuma kwako watumwa wangu, ili watazame-tazame nyumba yako na nyumba za watumwa wako; na itakuwa kila kipendezacho machoni pako
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, kesho wakati kama huu, nitatuma watumishi wangu waje kuisaka ikulu na nyumba za watumishi wako, wachukue kila kitu unachothamini.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kesho wakati kama huu, nitawatuma maafisa wangu kukagua jumba lako la kifalme na nyumba za maafisa wako. Watatwaa kitu unachokithamini nao watakichukua.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kesho wakati kama huu, nitawatuma maafisa wangu kukagua jumba lako la kifalme na nyumba za maafisa wako. Watatwaa kitu unachokithamini nao watakichukua.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini kesho wakati kama huu nitatuma kwako watumwa wangu, ili wachunguze nyumba yako na nyumba za watumwa wako; na itakuwa kila kipendezacho machoni pako watakitia mikononi mwao, na kukichukua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, kesho wakati kama huu, nitatuma watumishi wangu waje kuisaka ikulu na nyumba za watumishi wako, wachukue kila kitu unachothamini.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kesho saa hizi nitatuma watumishi wangu kwako, waichunguze nyumba yako, nazo nyumba za watumishi wako, wakamate kwa mikono yao yote yanayokupendeza, wayachukue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini kesho kama wakati huu nitatuma kwako watumwa wangu, ili watazame-tazame nyumba yako na nyumba za watumwa wako; na itakuwa kila kipendezacho machoni pako watakitia mikononi mwao, na kukichukua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, kesho kwa wakati kama huu, nitatuma watumishi wangu wakuje kutafutatafuta ndani ya nyumba yako na nyumba za watumishi wako, watwae na kupeleka kila kitu unachokiona kuwa cha bei kali.’ ”