1 Kings 20:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazee na watu wote wakamwambia, “Usimjali wala usikubali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazee na watu wote wakajibu, “Usimsikilize, wala usiyakubali matakwa yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia wazee wote na watu wote, Usisikie, wala usikubali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazee na watu wote wakamwambia, “Usimjali wala usikubali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazee na watu wote wakajibu, “Usimsikilize, wala usiyakubali matakwa yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazee na watu wote wakajibu, “Usimsikilize, wala usiyakubali matakwa yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia wazee wote na watu wote, Usisikie, wala usikubali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazee na watu wote wakamwambia, “Usimjali wala usikubali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wazee wote na watu wote wakamwambia: Usimwitikie, wala usikubali!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia wazee wote na watu wote, Usisikie, wala usikubali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazee na watu wote wakamwambia: “Usimujali wala usikubali.”