1 Kings 21:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mbele ya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakapiga mbiu ya watu kufunga, wakamweka Nabothi juu mbele ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakapiga mbiu ya watu kufunga, wakamweka Nabothi juu mbele ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatangaza mfungo, wakamweka Naboti kuwa mkuu wa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapiga mbiu ya watu kufunga, wakamweka Nabothi juu mbele ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakatangaza sikukuu ya kufunga kula, wakakutana na kumuweka Naboti kwenye nafasi ya heshima kati ya watu.