1 Kings 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Yezebeli akapelekewa habari kwamba Nabothi amekwisha uawa kwa kupigwa mawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakatuma ujumbe kwa Yezebeli, kusema, “Nabothi amepigwa mawe na amekufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakampelekea Yezebeli habari, wakasema, Nabothi amepigwa kwa mawe, amekufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Yezebeli akapelekewa habari kwamba Nabothi amekwisha uawa kwa kupigwa mawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakatuma ujumbe kwa Yezebeli, kusema, “Nabothi amepigwa mawe na amekufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakatuma ujumbe kwa Yezebeli, kusema, “Nabothi amepigwa mawe na amekufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakampelekea Yezebeli habari, wakasema, Nabothi amepigwa kwa mawe, amekufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Yezebeli akapelekewa habari kwamba Nabothi amekwisha uawa kwa kupigwa mawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakatuma kwake Izebeli kumwambia: Naboti amepigwa mawe, akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakampelekea Yezebeli habari, wakasema, Nabothi amepigwa kwa mawe, amekufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yezebeli akapelekewa habari kwamba Naboti amekwisha uawa kwa kutupiwa mawe.