1 Kings 21:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tu Ahabu aliposikia Nabothi amekwisha fariki, aliinuka kwenda kulimiliki shamba la mizabibu la Nabothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahabu aliposikia Nabothi amekufa, akainuka, kisha akashuka kwenda kulimiliki shamba la mizabibu la Nabothi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Ahabu aliposikia ya kwamba Nabothi amekufa, akaondoka, alitelemkie shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, ili alitamalaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tu Ahabu aliposikia Nabothi amekwisha fariki, aliinuka kwenda kulimiliki shamba la mizabibu la Nabothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahabu aliposikia Nabothi amekufa, akainuka na kushuka ili kulichukua shamba la mizabibu la Nabothi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahabu aliposikia Nabothi amekufa, akainuka na kushuka ili kulichukua shamba la mizabibu la Nabothi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa Ahabu aliposikia ya kwamba Nabothi amekufa, akaondoka, aliteremkie shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, ili alitamalaki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tu Ahabu aliposikia Nabothi amekwisha fariki, aliinuka kwenda kulimiliki shamba la mizabibu la Nabothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Ahabu aliposikia, ya kuwa Naboti amekufa, Ahabu akaondoka kushuka kwenye shamba la mizabibu la Naboti wa Izireeli, aje kulitwaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Ahabu aliposikia ya kwamba Nabothi amekufa, akaondoka, alitelemkie shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, ili alitamalaki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tu Ahabu aliposikia kwamba Naboti amekwisha kufa, akasimama na kwenda kulitwaa shamba la mizabibu la Naboti.