1 Kings 21:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Elia wa Tishbe:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Ilya Mtishbi, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana likamjia Eliya Mtishbi, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Elia wa Tishbe:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha neno la BWANA likamjia Eliya, Mtishbi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha neno la bwana likamjia Ilya, Mtishbi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA likamjia Eliya Mtishbi, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Elia wa Tishbe:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha neno la Bwana likamjia Elia wa tisibe kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA likamjia Eliya Mtishbi, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, neno la Yawe lilimufikia Elia wa Tisibe kusema hivi: