1 Kings 21:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Pia Mwenyezi Mungu anasema kumhusu Yezebeli: ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Bwana alinena habari za Yezebeli, akisema, Mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Pia kwa habari ya Yezebeli BWANA anasema, ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Pia kwa habari ya Yezebeli bwana anasema, ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena BWANA alinena habari za Yezebeli, akisema, Mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili yake Izebeli Bwana akasema kwamba: Mbwa watamla Izebeli katika mfereji wa mji wa Izireeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena BWANA alinena habari za Yezebeli, akisema, Mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, Yawe anasema hivi juu ya Yezebeli: ‘Imbwa wataukula mwili wa Yezebeli humuhumu katika muji wa Yezereheli.