1 Kings 21:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, yeyote wa jamaa yake atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mbwa watawala wale wa nyumba ya Ahabu watakaofia mjini, nao wale watakaofia mashambani wataliwa na ndege wa angani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu wa nyumba ya Ahabu afaye mjini, mbwa watamla, na yeye afaye mashambani ndege wa angani watamla.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, yeyote wa jamaa yake atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mbwa watawala wale wa nyumba ya Ahabu watakaofia mjini, nao wale watakaofia mashambani wataliwa na ndege wa angani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mbwa watawala wale wa nyumba ya Ahabu watakaofia mjini, nao wale watakaofia mashambani wataliwa na ndege wa angani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu wa nyumba ya Ahabu afaye mjini, mbwa watamla, na yeye afaye mashambani ndege wa angani watamla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, yeyote wa jamaa yake atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wa Ahabu watakaokufa mjini mbwa watawala; nao watakaokufa shambani madege wa angani watawala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu wa nyumba ya Ahabu afaye mjini, mbwa watamla, na yeye afaye mashambani ndege wa angani watamla.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika, mutu yeyote wa jamaa yake atakayekufia ndani ya muji, imbwa watamukula; na mutu yeyote atakayekufia katika shamba, ndege watamukula.’ ”