1 Kings 21:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Hakuna mtu aliyenuia kutenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Ahabu, ambaye alishawishiwa na Yezebeli, mkewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Hapajapata kamwe kuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza mwenyewe kutenda uovu machoni pa Mwenyezi Mungu, akiwa anachochewa na Yezebeli mkewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(Lakini hapakuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza atende maovu machoni pa Bwana ambaye Yezebeli mkewe alimchochea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Hakuna mtu aliyenuia kutenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Ahabu, ambaye alishawishiwa na Yezebeli, mkewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Hapajapata kamwe kuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza mwenyewe kutenda uovu machoni mwa BWANA, akiwa anachochewa na Yezebeli mkewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Hapajapata kamwe kuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza mwenyewe kutenda uovu machoni mwa bwana, akiwa anachochewa na Yezebeli mkewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(Lakini hapakuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza atende maovu machoni pa BWANA ambaye Yezebeli mkewe alimchochea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Hakuna mtu aliyenuia kutenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Ahabu, ambaye alishawishiwa na Yezebeli, mkewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli hakuwako mtu kama Ahabu aliyejiuza hivyo kuwa mtumwa wa mambo yaliyo mabaya machoni pa Bwana, ayafanye; ni kwa kuwa mkewe Izebeli alimpoteza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(Lakini hapakuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza atende maovu machoni pa BWANA ambaye Yezebeli mkewe alimchochea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna mutu aliyekusudia kutenda maovu mbele ya Yawe kama Ahabu, ambaye alishawishiwa na Yezebeli, muke wake.