1 Kings 21:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda machukizo kwa kuabudu sanamu za miungu kama walivyofanya Waamori ambao hapo awali Mwenyezi-Mungu aliwafukuza mbele ya watu wa Israeli).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alitenda uovu sana kwa kuzifuata sanamu, kama Waamori ambao Mwenyezi Mungu aliowafukuza mbele ya Israeli.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akachukiza mno, kwa kuzifuata sanamu sawasawa na yote waliyoyafanya Waamori, Bwana aliowafukuza mbele ya wana wa Israeli.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda machukizo kwa kuabudu sanamu za miungu kama walivyofanya Waamori ambao hapo awali Mwenyezi-Mungu aliwafukuza mbele ya watu wa Israeli).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alitenda kwa uovu sana katika kuabudu sanamu, kama wale Waamori ambao BWANA aliowafukuza mbele ya Israeli.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alitenda kwa uovu sana katika kuabudu sanamu, kama wale Waamori ambao bwana aliowafukuza mbele ya Israeli.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akachukiza mno, kwa kuzifuata sanamu sawasawa na yote waliyoyafanya Waamori, BWANA aliowafukuza mbele ya wana wa Israeli.)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda machukizo kwa kuabudu sanamu za miungu kama walivyofanya Waamori ambao hapo awali Mwenyezi-Mungu aliwafukuza mbele ya watu wa Israeli).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatapisha sana kwa kuyafuata magogo ya kutambikia na kuyafanya yote, Waamori waliyoyafanya, Bwana aliowafukuza mbele ya wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akachukiza mno, kwa kuzifuata sanamu sawasawa na yote waliyoyafanya Waamori, BWANA aliowafukuza mbele ya wana wa Israeli.)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda machukizo kwa kuabudu sanamu za miungu kama vile Waamori walivyofanya ambao zamani Yawe aliwafukuza mbele ya watu wa Israeli.