1 Kings 21:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo neno la Mwenyezi Mungu lilipomjia Ilya Mtishbi kusema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana likaja kwa Eliya Mtishbi, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo neno la BWANA lilipomjia Eliya Mtishbi kusema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo neno la bwana lilipomjia Ilya Mtishbi kusema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA likaja kwa Eliya Mtishbi, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, neno la Bwana lilipomjia Elia wa Tisibe kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA likaja kwa Eliya Mtishbi, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, neno la Yawe lilimufikia Elia wa Tisibe kusema hivi: