1 Kings 21:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, Nabothi akamjibu, “Jambo la kukupa wewe urithi nilioupata kwa wazee wangu, Mwenyezi-Mungu na apishe mbali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Nabothi akamjibu, “Mwenyezi Mungu na apishe mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nabothi akamwambia Ahabu, Bwana apishe mbali nikupe wewe urithi wa baba zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, Nabothi akamjibu, “Jambo la kukupa wewe urithi nilioupata kwa wazee wangu, Mwenyezi-Mungu na apishe mbali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Nabothi akajibu, “BWANA na apitishie mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Nabothi akamjibu, “ bwana na apishe mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nabothi akamwambia Ahabu, BWANA apishe mbali nikupe wewe urithi wa baba zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, Nabothi akamjibu, “Jambo la kukupa wewe urithi nilioupata kwa wazee wangu, Mwenyezi-Mungu na apishe mbali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naboti akamwambia Ahabu: Bwana na anizuie, nisikupe fungu langu, nililolipata kwa baba zangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nabothi akamwambia Ahabu, BWANA apishe mbali nikupe wewe urithi wa baba zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, Naboti akamujibu: “Jambo la kukupa wewe urizi nilioupata kwa wazee wangu, Yawe alipitishe mbali.”