1 Kings 21:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yezebeli, mkewe, akamwendea na kumwuliza, “Mbona umejaa huzuni moyoni hata kula huli?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yezebeli mke wake akaingia na akamuuliza, “Kwa nini unahuzunika hivi? Kwa nini huli chakula?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Yezebeli mkewe akamwendea, akamwambia, Kwa nini roho yako ina huzuni hata usile chakula?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yezebeli, mkewe, akamwendea na kumwuliza, “Mbona umejaa huzuni moyoni hata kula huli?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yezebeli mke wake akaingia na akamwuliza, “Kwa nini unahuzunika hivi? Kwa nini huli chakula?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yezebeli mke wake akaingia na akamuuliza, “Kwa nini unahuzunika hivi? Kwa nini huli chakula?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yezebeli mkewe akamwendea, akamwambia, Kwa nini roho yako ina huzuni hata usile chakula?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yezebeli, mkewe, akamwendea na kumwuliza, “Mbona umejaa huzuni moyoni hata kula huli?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mkewe Izebeli alipoingia mwake, akamwambia: Mbona roho yako inakasirika, ukakataa kula?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Yezebeli mkewe akamwendea, akamwambia, Kwa nini roho yako ina huzuni hata usile chakula?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yezebeli, muke wake, akamwendea na kumwuliza: “Mbona umejaa huzuni ndani ya moyo hata kula haukuli?”