1 Kings 21:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Barua zenyewe ziliandikwa hivi: “Pigeni mbiu ya mfungo, mkutane na kumpa Nabothi mahali pa heshima kati ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika barua hizo aliandika: “Tangazeni siku ya watu kufunga, na mkamketishe Nabothi mbele ya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaandika katika zile nyaraka, akasema, Pigeni mbiu ya watu kufunga, mkamweke Nabothi juu mbele ya watu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Barua zenyewe ziliandikwa hivi: “Pigeni mbiu ya mfungo, mkutane na kumpa Nabothi mahali pa heshima kati ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika barua hizo aliandika: “Tangazeni siku ya watu kufunga na mumketishe Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika barua hizo aliandika: “Tangazeni siku ya watu kufunga na mkamketishe Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaandika katika zile nyaraka, akasema, Pigeni mbiu ya watu kufunga, mkamketishe Nabothi juu mbele ya watu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Barua zenyewe ziliandikwa hivi: “Pigeni mbiu ya mfungo, mkutane na kumpa Nabothi mahali pa heshima kati ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaandika humo baruani kwamba: Tangazeni mfungo, naye Naboti mwekeni kuwa mkuu wa watu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaandika katika zile nyaraka, akasema, Pigeni mbiu ya watu kufunga, mkamweke Nabothi juu mbele ya watu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barua zenyewe ziliandikwa hivi: “Mutangaze kwa watu kwa kufanya sikukuu ya kufunga kula, mukutane na kumupa Naboti nafasi ya heshima kati ya watu.