1 Kings 22:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa na amani kati ya Israeli na Aramu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa miaka mitatu hapakuwa na vita kati ya Aramu na Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya Shamu na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa na amani kati ya Israeli na Aramu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa miaka mitatu hapakuwa na vita kati ya Aramu na Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa miaka mitatu hapakuwa na vita kati ya Aramu na Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya Shamu na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa na amani kati ya Israeli na Aramu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakakaa miaka mitatu, Washami na Waisiraeli wasipopigana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya Shamu na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa amani kati ya Israeli na Aramu.