1 Kings 22:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mikaya akamjibu, “Ninaapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, mimi nitasema tu yale atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, nitamwambia kile tu Mwenyezi Mungu atakachoniambia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikaya akasema, Kama Bwana aishivyo, neno lile Bwana aniambialo, ndilo nitakalolinena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mikaya akamjibu, “Ninaapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, mimi nitasema tu yale atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama BWANA aishivyo, nitamwambia kile tu BWANA atakachoniambia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama bwana aishivyo, nitamwambia kile tu bwana atakachoniambia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikaya akasema, Kama BWANA aishivyo, neno lile BWANA aniambialo, ndilo nitakalolinena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mikaya akamjibu, “Ninaapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, mimi nitasema tu yale atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikaya akasema: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, nitasema hayo tu, Bwana atakayoniambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikaya akasema, Kama BWANA aishivyo, neno lile BWANA aniambialo, ndilo nitakalolinena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mikaya akamujibu: “Kama vile Yawe anavyoishi, mimi nitasema tu yale Yawe atakayoniambia.”