1 Kings 22:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ndivyo ilivyo: Mwenyezi-Mungu amewafanya hawa manabii wako wote waseme uongo. Mwenyezi-Mungu amenena mabaya juu yako!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo sasa Mwenyezi Mungu ameweka roho ya kudanganya ndani ya vinywa vya hawa manabii wako wote. Mwenyezi Mungu ameamuru maafa kwa ajili yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi angalia, Bwana ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye Bwana amenena mabaya juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ndivyo ilivyo: Mwenyezi-Mungu amewafanya hawa manabii wako wote waseme uongo. Mwenyezi-Mungu amenena mabaya juu yako!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo sasa BWANA ameweka roho ya kudanganya ndani ya vinywa vya hawa manabii wako wote. BWANA ameamuru maafa kwa ajili yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo sasa bwana ameweka roho ya kudanganya ndani ya vinywa vya hawa manabii wako wote. bwana ameamuru maafa kwa ajili yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ndivyo ilivyo: Mwenyezi-Mungu amewafanya hawa manabii wako wote waseme uongo. Mwenyezi-Mungu amenena mabaya juu yako!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa tazama! Bwana ametia roho ya uwongo vinywani mwa hawa wafumbuaji wako wote, maana yeye Bwana amekwisha kukutakia mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, ndivyo inavyokuwa: Yawe amewasukuma hawa manabii wako wote waseme uongo. Yawe amesema mabaya juu yako!”