1 Kings 22:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahabu akawaambia watumishi wake, “Je, hamjui kwamba Ramoth-gileadi ni mali yetu? Mbona basi tunajikalia tu bila kuunyakua kutoka kwa mfalme wa Aramu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme wa Israeli alikuwa amewaambia maafisa wake, “Je, hamjui Ramoth-Gileadi ni mali yetu, na bado hatufanyi chochote kuirudisha kwetu kutoka kwa mfalme wa Aramu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Israeli akawaambia watumishi wake, Je! Hamjui ya kuwa Ramoth-Gileadi ni yetu? Nasi tumenyamaza tusiitwae mkononi mwa mfalme wa Shamu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahabu akawaambia watumishi wake, “Je, hamjui kwamba Ramoth-gileadi ni mali yetu? Mbona basi tunajikalia tu bila kuunyakua kutoka kwa mfalme wa Aramu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme wa Israeli alikuwa amewaambia maafisa wake, “Je, hamjui Ramoth-Gileadi ni mali yetu na bado hatufanyi cho chote kuirudisha kwetu kutoka kwa mfalme wa Aramu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme wa Israeli alikuwa amewaambia maafisa wake, “Je, hamjui Ramoth-Gileadi ni mali yetu na bado hatufanyi chochote kuirudisha kwetu kutoka kwa mfalme wa Aramu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme wa Israeli akawaambia watumishi wake, Je! Hamjui ya kuwa Ramoth-Gileadi ni yetu? Nasi tumenyamaza tusiitwae mkononi mwa mfalme wa Shamu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahabu akawaambia watumishi wake, “Je, hamjui kwamba Ramoth-gileadi ni mali yetu? Mbona basi tunajikalia tu bila kuunyakua kutoka kwa mfalme wa Aramu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme wa Waisiraeli alipowaambia watumishi wake: Je? Mwajua, ya kuwa Ramoti wa Gileadi ni wa kwetu? Nasi tunajikalia tu tukiacha kuuchukua mkononi mwa mfalme wa Washami?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Israeli akawaambia watumishi wake, Je! Hamjui ya kuwa Ramoth-Gileadi ni yetu? Nasi tumenyamaza tusiitwae mkononi mwa mfalme wa Shamu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahabu akawaambia watumishi wake: “Hamujui kwamba muji wa Ramoti-Gileadi ni mali yetu? Mbona basi tunajiikalia tu bila kuunyanganya kutoka kwa mufalme wa Aramu?”