1 Kings 22:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na mapigano siku hiyo yakazidi kuwa makali, huku mfalme ameegemeshwa garini, anawaelekea watu wa Aramu. Ilipofika jioni, akafariki. Damu ikawa inamtoka jerahani mwake na kutiririka hadi chini ya gari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vita vikaendelea mchana kutwa, naye Mfalme Ahabu akategemezwa ndani ya gari lake la vita kuelekea Waaramu. Damu kutoka jeraha lake ikatiririka ndani ya gari lake, na jioni yake akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pigano likazidi siku ile; mfalme akategemezwa garini mwake, kinyume cha Washami, hata jioni akafa; damu ikatoka katika jeraha yake ndani ya gari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na mapigano siku hiyo yakazidi kuwa makali, huku mfalme ameegemeshwa garini, anawaelekea watu wa Aramu. Ilipofika jioni, akafariki. Damu ikawa inamtoka jerahani mwake na kutiririka hadi chini ya gari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vita vikaendelea mchana kutwa, naye Mfalme Ahabu akategemezwa ndani ya gari kuelekea Waaramu. Damu kutoka kwenye jeraha lake ikachuruzika ndani ya gari na jioni yake akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vita vikaendelea mchana kutwa, naye Mfalme Ahabu akategemezwa ndani ya gari kuelekea Waaramu. Damu kutoka kwenye jeraha lake ikachuruzika ndani ya gari na jioni yake akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pigano likazidi siku ile; mfalme akategemezwa garini mwake, kinyume cha Washami, hata jioni akafa; damu ikatoka katika jeraha lake ndani ya gari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na mapigano siku hiyo yakazidi kuwa makali, huku mfalme ameegemeshwa garini, anawaelekea watu wa Aramu. Ilipofika jioni, akafariki. Damu ikawa inamtoka jerahani mwake na kutiririka hadi chini ya gari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mapigano yakazidi siku hiyo; kwa hiyo mfalme alikuwa amesimama garini ng'ambo ya huku ya Washami, akafa jioni; nayo damu ya kidonda chake ilikuwa imemwagika ndani ya gari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pigano likazidi siku ile; mfalme akategemezwa garini mwake, kinyume cha Washami, hata jioni akafa; damu ikatoka katika jeraha yake ndani ya gari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mapigano siku hiyo yakazidi kuwa makali, naye mufalme akiegemeshwa ndani ya gari, akiwaelekea Waaramu. Ilipofika magaribi, akakufa. Damu ikakuwa inamutoka kwenye kidonda chake na kutiririka mpaka chini ya gari.