1 Kings 22:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Ahabu alipofariki maiti yake ilipelekwa Samaria, ikazikwa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi mfalme akafa na akaletwa Samaria, nao wakamzika huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo akafa mfalme, akachukuliwa Samaria, wakamzika mfalme huko Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Ahabu alipofariki maiti yake ilipelekwa Samaria, ikazikwa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi mfalme akafa na akaletwa Samaria, nao wakamzika huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi mfalme akafa na akaletwa Samaria, nao wakamzika huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo akafa mfalme, akachukuliwa Samaria, wakamzika mfalme huko Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Ahabu alipofariki maiti yake ilipelekwa Samaria, ikazikwa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme alipokwisha kufa, akapelekwa Samaria; ndiko, walikomzika mfalme wa Samaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo akafa mfalme, akachukuliwa Samaria, wakamzika mfalme huko Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Ahabu alikufa na maiti yake ilipelekwa Samaria, ikazikwa kule.