1 Kings 22:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahabu alipofariki, mwanawe Ahazia alitawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahabu akalala na baba zake. Naye Ahazia mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Ahabu akalala na baba zake; na Ahazia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahabu alipofariki, mwanawe Ahazia alitawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahabu akalala pamoja na baba zake. Naye Ahazia mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahabu akalala pamoja na baba zake. Naye Ahazia mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Ahabu akalala na baba zake; na Ahazia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahabu alipofariki, mwanawe Ahazia alitawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahabu alipokwisha kulala na baba zake, mwanawe Ahazia akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Ahabu akalala na baba zake; na Ahazia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahabu alipokufa, mwana wake Ahazia alitawala kwa pahali pake.