1 Kings 22:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya baba yake Asa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kila jambo alitembea katika njia za Asa baba yake wala hakuenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu. Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa. Watu waliendelea kutoa kafara na kufukiza uvumba huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiendea njia yote ya Asa babaye; wala hakugeuka, akifanya yaliyo mema machoni pa Bwana. Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa dhabihu wakafukiza uvumba katika mahali pa juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya baba yake Asa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kila jambo alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakwenda kinyume chake, akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA. Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia palikuwa hapakuondolewa na watu waliendelea kutoa dhabihu na kufukiza uvumba huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kila jambo alitembea katika njia za Asa baba yake wala hakwenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa bwana. Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa. Watu waliendelea kutoa kafara na kufukiza uvumba huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaiendea njia yote ya Asa babaye; wala hakugeuka, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA. Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa dhabihu wakafukiza uvumba katika mahali pa juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya baba yake Asa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea kuzishika njia zote za baba yake Asa, hakuziacha kabisa, akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiendea njia yote ya Asa babaye; wala hakugeuka, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA. Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa dhabihu wakafukiza uvumba katika mahali pa juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda mema mbele ya Yawe kama vile baba yake Asa alivyofanya.