1 Kings 22:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakupaharibu mahali pa kutambikia vilimani. Watu waliendelea kutambikia na kufukiza ubani mahali hapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoshafati pia alikuwa na amani na mfalme wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akafanya amani na mfalme wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakupaharibu mahali pa kutambikia vilimani. Watu waliendelea kutambikia na kufukiza ubani mahali hapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoshafati pia alikuwa na amani na mfalme wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoshafati pia alikuwa na amani na mfalme wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati akafanya amani na mfalme wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakupaharibu mahali pa kutambikia vilimani. Watu waliendelea kutambikia na kufukiza ubani mahali hapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matambiko ya vilimani tu hayakukoma, watu wakaendelea bado kutoa huko ng'ombe za tambiko na kuvukiza kule vilimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akafanya amani na mfalme wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuharibu nafasi ya kutambikia juu ya vilima. Watu waliendelea kutambikia na kufukiza ubani kwa nafasi ile.