1 Kings 22:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoshafati pia, alifanya mapatano ya amani na mfalme wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Yehoshafati, mafanikio aliyokuwa nayo na uhodari wake katika vita, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, na uthabiti alioufanya, na jinsi alivyopiga vita, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoshafati pia, alifanya mapatano ya amani na mfalme wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa habari ya matukio mengine ya utawala wa Yehoshafati, mafanikio aliyokuwa nayo na uhodari wake katika vita, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu cha wafalme wa Yuda?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa habari ya matukio mengine ya utawala wa Yehoshafati, mafanikio aliyokuwa nayo na uhodari wake katika vita, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, na uthabiti alioufanya, na jinsi alivyopiga vita, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoshafati pia, alifanya mapatano ya amani na mfalme wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati akakaa na kupatana na mfalme wa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, na uthabiti alioufanya, na jinsi alivyopiga vita, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosafati vilevile, alifanya mapatano ya amani na mufalme wa Israeli.