1 Kings 22:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo mengine ya Yehoshafati, ushujaa wake na vita alivyopigana, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Yuda. Wafiraji wote wa kidini waliosalia tangu nyakati za baba yake Asa, Yehoshafati aliwaondoa nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliondolea mbali katika nchi mahanithi wa mahali pa ibada za sanamu waliobaki huko hata baada ya utawala wa baba yake Asa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mahanithi waliosalia, hao waliosalia siku za Asa baba yake, akawaondoa katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo mengine ya Yehoshafati, ushujaa wake na vita alivyopigana, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliondolea mbali katika nchi mahanithi wa mahali pa kuabudia miungu waliobaki huko hata baada ya utawala wa baba yake Asa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliondolea mbali katika nchi mahanithi wa mahali pa kuabudia miungu waliobaki huko hata baada ya utawala wa baba yake Asa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mahanithi waliosalia, hao waliosalia siku za Asa baba yake, akawaondoa katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo mengine ya Yehoshafati, ushujaa wake na vita alivyopigana, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Yuda. Wafiraji wote wa kidini waliosalia tangu nyakati za baba yake Asa, Yehoshafati aliwaondoa nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo mengine ya Yosafati na matendo yake yenye nguvu, aliyoyafanya alipopiga vita, hayakuandikwa katika kitabu cha mambo ya siku za wafalme wa Wayuda?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mahanithi waliosalia, hao waliosalia siku za Asa baba yake, akawaondoa katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo mengine ya Yosafati, ushujaa wake na vita alivyopigana, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Siku za Wafalme wa Yuda.