1 Kings 22:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika nchi ya Edomu, hapakuwa na mfalme. Nchi hiyo ilitawaliwa na naibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule, hakukuwa na mfalme katika Edomu; naibu ndiye alitawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hapakuwa na mfalme katika Edomu; naibu alikuwa ndiye mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafiraji wote wa kidini waliosalia tangu nyakati za baba yake Asa, Yehoshafati aliwaondoa nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu hapo hapakuwepo na mfalme katika Edomu, naibu ndiye aliyetawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu hapo hapakuwepo na mfalme katika Edomu, naibu ndiye alitawala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hapakuwa na mfalme katika Edomu; naibu alikuwa ndiye mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika nchi ya Edomu, hapakuwa na mfalme. Nchi hiyo ilitawaliwa na naibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wagoni wa patakatifu waliosalia katika siku za baba yake Asa akawatowesha kabisa katika hiyo nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hapakuwa na mfalme katika Edomu; naibu alikuwa ndiye mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waasherati wote wa kidini waliobaki tangu nyakati za baba yake Asa, Yosafati aliwaondoa katika inchi.