1 Kings 22:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yehoshafati aliendelea kumwambia mfalme wa Israeli: “Lakini, kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu ushauri.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta ushauri wa Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, Uulize leo, nakusihi, kwa neno la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yehoshafati aliendelea kumwambia mfalme wa Israeli: “Lakini, kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu ushauri.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta shauri la BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta shauri la bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, Uulize leo, nakusihi, kwa neno la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yehoshafati aliendelea kumwambia mfalme wa Israeli: “Lakini, kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu ushauri.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosafati akamwambia mfalme wa Waisiraeli: Uliza leo hivi, Bwana atakavyosema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, Uulize leo, nakusihi, kwa neno la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yosafati aliendelea kumwambia mufalme wa Israeli: “Lakini, kwanza umwulize Yawe shauri.”