1 Kings 22:53 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimtumikia na kumwabudu Baali, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kila jambo kama alivyofanya baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alimtumikia na kumwabudu Baali na kumghadhibisha Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamtumikia Baali, akamwabudu, akamghadhibisha Bwana, Mungu wa Israeli, kwa mfano wa mambo yote aliyoyafanya baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahazia alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; aliuiga mwenendo wa baba yake na mwenendo wa Yezebeli, mama yake, na wa Yeroboamu, mwana wa Nebati ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alimtumikia na kumwabudu Baali na kumghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alimtumikia na kumwabudu Baali na kumghadhibisha bwana, Mungu wa Israeli, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamtumikia Baali, akamwabudu, akamghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kwa mfano wa mambo yote aliyoyafanya baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimtumikia na kumwabudu Baali, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kila jambo kama alivyofanya baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, akaendelea kuishika njia ya baba yake na njia ya mama yake na njia ya Yeroboamu, mwana wa Nebati, aliyewakosesha Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamtumikia Baali, akamwabudu, akamghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kwa mfano wa mambo yote aliyoyafanya baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahazia alitenda maovu mbele ya Yawe; alifuata mwenendo wa baba yake na mwenendo wa mama yake Yezebeli, na wa Yeroboamu mwana wa Nebati ambaye aliwasukuma watu wa Israeli watende zambi.