1 Kings 22:54 — Compare Translations

3 translations compared side by side

Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimtumikia na kumwabudu Baali, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kila jambo kama alivyofanya baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamtumikia Baali na kumtambikia, akamchafukisha Bwana Mungu wa Isiraeli kwa kuyafanya yote, baba yake aliyoyafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimutumikia na kumwabudu Bali, akamukasirikisha Yawe, Mungu wa Israeli, kwa kila jambo kama vile baba yake alivyofanya.