1 Kings 3:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ombi hili la Solomoni lilimfurahisha Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana akapendezwa kwamba Sulemani ameliomba jambo hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili likawa jema machoni pa Bwana, ya kuwa Sulemani ameomba neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ombi hili la Solomoni lilimfurahisha Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana akapendezwa kwamba Solomoni ameliomba jambo hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana akapendezwa kwamba Sulemani ameliomba jambo hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili likawa jema machoni pa Bwana, ya kuwa Sulemani ameomba neno hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ombi hili la Solomoni lilimfurahisha Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili likawa jema machoni pa Bwana, kwa kuwa Salomo ameomba neno kama hilo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili likawa jema machoni pa Bwana, ya kuwa Sulemani ameomba neno hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ombi hili la Solomono lilimufurahisha Yawe,