1 Kings 3:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia, nitakupa yale ambayo hukuomba: Nitakupa utajiri na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote wa nyakati zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, nitakupa yale ambayo hukuomba: utajiri na heshima; siku za maisha yako yote hapatakuwa na mtu kama wewe miongoni mwa wafalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari, hata hapatakuwa na mtu katika wafalme kama wewe, siku zako zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia, nitakupa yale ambayo hukuomba: nitakupa utajiri na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote wa nyakati zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, nitakupa yale ambayo hukuomba, yaani utajiri na heshima, ili kwamba maisha yako yote hapatakuwa na mtu kama wewe miongoni mwa wafalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, nitakupa yale ambayo hukuomba, yaani utajiri na heshima, ili kwamba maisha yako yote hapatakuwa na mtu kama wewe miongoni mwa wafalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari, hata hapatakuwa na mtu katika wafalme kama wewe, siku zako zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia, nitakupa yale ambayo hukuomba: Nitakupa utajiri na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote wa nyakati zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo usiyoyaomba nimekupa, kama mali nyingi na utukufu; kwa hiyo mtu kama wewe hatakuwako katika wafalme siku zako zote za kuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari, hata hapatakuwa na mtu katika wafalme kama wewe, siku zako zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, nitakupa yale ambayo haukuomba: nitakupa utajiri na heshima zaidi ya mufalme mwingine yeyote wa nyakati zako.