1 Kings 3:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile wakaja wanawake wagoni wawili kwa mfalme, wakasimama mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja, wanawake wawili wakahaba walikwenda kwa mufalme Solomono.