1 Kings 3:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku tatu baadaye, huyu naye alijifungua mtoto. Hapakuwa na mtu mwingine nyumbani ila sisi wawili tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya tatu baada ya mtoto wangu kuzaliwa, mwanamke huyu pia naye akazaa mtoto. Tulikuwa peke yetu, hapakuwa na mtu mwingine yeyote katika nyumba isipokuwa sisi wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku tatu baadaye, huyu naye alijifungua mtoto. Hapakuwa na mtu mwingine nyumbani ila sisi wawili tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya tatu baada ya mtoto wangu kuzaliwa, mwanamke huyu pia naye akazaa mtoto. Tulikuwa peke yetu, hapakuwa na mtu mwingine ye yote katika nyumba isipokuwa sisi wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya tatu baada ya mtoto wangu kuzaliwa, mwanamke huyu pia naye akazaa mtoto. Tulikuwa peke yetu, hapakuwa na mtu mwingine yeyote katika nyumba isipokuwa sisi wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku tatu baadaye, huyu naye alijifungua mtoto. Hapakuwa na mtu mwingine nyumbani ila sisi wawili tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa siku ya tatu ya kuzaa kwangu, huyu mwanamke akazaa naye, nasi tulikuwa pamoja mle nyumbani, hamna mgeni tena pamoja nasi, ni sisi wawili peke yetu mle nyumbani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya siku tatu huyu naye akazaa mutoto mwanaume. Hakukukuwa mutu mwingine ndani ya nyumba isipokuwa sisi wawili tu.