1 Kings 3:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati wa usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati wa usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, usiku mtoto wake huyu mwanamke akafa, kwa kuwa alimlalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, usiku mumoja, mutoto wake akakufa kwa sababu alimulalia.