1 Kings 3:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla yake, watu walikuwa wakitoa tambiko vilimani, kwa kuwa nyumba ya Mungu ilikuwa bado haijajengwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, watu bado walikuwa wakitoa dhabihu huko kwenye mahali pa juu pa kuabudia, kwa sababu Hekalu lilikuwa bado halijajengwa kwa ajili ya Jina la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila watu walikuwa wakichinja dhabihu katika mahali pa juu, kwa sababu haikuwapo nyumba iliyojengwa kwa jina la Bwana, hata siku zile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla yake, watu walikuwa wakitoa tambiko vilimani, kwa kuwa nyumba ya Mungu ilikuwa bado haijajengwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, watu bado walikuwa wakitoa dhabihu huko kwenye vilima, kwa sababu Hekalu lilikuwa bado halijajengwa kwa ajili ya Jina la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, watu bado walikuwa wakitoa dhabihu huko kwenye vilima, kwa sababu Hekalu lilikuwa bado halijajengwa kwa ajili ya Jina la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila watu walikuwa wakitoa dhabihu katika mahali pa juu, kwa sababu haikuwapo nyumba iliyojengwa kwa jina la BWANA, hata siku zile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla yake, watu walikuwa wakitoa tambiko vilimani, kwa kuwa nyumba ya Mungu ilikuwa bado haijajengwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watu walikuwa wakitambika vilimani, kwani Jina la Bwana halijajengewa nyumba bado mpaka siku hizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila watu walikuwa wakichinja dhabihu katika mahali pa juu, kwa sababu haikuwapo nyumba iliyojengwa kwa jina la BWANA, hata siku zile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa wakati ule, watu walikuwa wakitoa sadaka kule juu ya vilima, kwa kuwa nyumba ya Mungu ilikuwa bado haijajengwa.