1 Kings 3:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na hapa umeniweka kati ya watu wako ambao umewachagua; nao ni wengi hata hawawezi kuhesabika kwa wingi wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtumishi wako yuko hapa miongoni mwa watu uliowachagua: taifa kubwa, watu wengi wasioweza kuhesabika wala kutoa idadi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtumwa wako yu katikati ya watu wako uliowachagua, watu wengi wasioweza kuhesabiwa, wala kufahamiwa idadi yao, kwa kuwa ni wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na hapa umeniweka kati ya watu wako ambao umewachagua; nao ni wengi hata hawawezi kuhesabika kwa wingi wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtumishi wako yuko hapa miongoni mwa watu uliowachagua. Taifa kubwa, watu wengi wasioweza kuhesabika wala kutoa idadi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtumishi wako yuko hapa miongoni mwa watu uliowachagua: taifa kubwa, watu wengi wasioweza kuhesabika wala kutoa idadi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtumwa wako yuko katikati ya watu wako uliowachagua, watu wengi wasioweza kuhesabiwa, wala kufahamiwa idadi yao, kwa kuwa ni wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na hapa umeniweka kati ya watu wako ambao umewachagua; nao ni wengi hata hawawezi kuhesabika kwa wingi wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mtumishi wako yuko katikati yao walio ukoo wako, uliouchagua, nao ni watu wengi wasiowezekana wala kuhesabiwa wala kuwangwa kwa kuwa wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtumwa wako yu katikati ya watu wako uliowachagua, watu wengi wasioweza kuhesabiwa, wala kufahamiwa idadi yao, kwa kuwa ni wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hapa umeniweka kati ya watu wako ambao umewachagua; nao ni wengi hata hawawezi kuhesabika kwa sababu ya wingi wao.