1 Kings 4:10 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwana wa Hesedi, katika Arubothi; na Soko ilikuwa kwake na nchi yote ya Heferi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake);
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake);
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwana wa Hesedi, katika Arubothi na Soko lilikuwa kwake na nchi yote ya Heferi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ben-hesedi alisimamia mji wa Arubothi, alisimamia pia Soko na nchi yote ya Heferi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa Hesedi huko Aruboti, hata Soko na nchi yote ya Heferi ilikuwa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwana wa Hesedi, katika Arubothi; na Soko ilikuwa kwake na nchi yote ya Heferi.