1 Kings 4:12 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baana, mwana wa Ahiludi, alisimamia miji ya Taanaki, Megido, na sehemu yote ya Beth-sheani iliyo karibu na mji wa Zarethi, kusini ya mji wa Yezreeli, na kutoka Beth-sheani mpaka miji ya Abel-mehola, na hata kupita mji wa Yokmeamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baana mwana wa Ahiludi, katika Taanaki na Megido, na Beth-sheani yote, iliyo kando ya Sarethani, chini ya Yezreeli, tangu Beth-sheani mpaka Abel-mehola, hata kupita Yokmeamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baana, mwana wa Ahiludi, alisimamia miji ya Taanaki, Megido, na sehemu yote ya Beth-sheani iliyo karibu na mji wa Zarethi, kusini ya mji wa Yezreeli, na kutoka Beth-sheani mpaka miji ya Abel-mehola, na hata kupita mji wa Yokmeamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baana mwana wa Ahihudi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Zarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baana mwana wa Ahiludi, katika Taanaki na Megido, na Beth-sheani yote, iliyo kando ya Sarethani, chini ya Yezreeli, tangu Beth-sheani mpaka Abel-mehola, hata kupita Yokmeamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baana, mwana wa Ahiludi, alisimamia miji ya Taanaki, Megido, na sehemu yote ya Beth-sheani iliyo karibu na mji wa Zarethi, kusini ya mji wa Yezreeli, na kutoka Beth-sheani mpaka miji ya Abel-mehola, na hata kupita mji wa Yokmeamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baana, mwana wa Ahiludi, yake ilikuwa Taanaki na Megido na Beti-Seani yote iliyoko kandokando ya Sartani chini ya Izireeli toka Beti-Seani hata Abeli-Mehola mpaka ng'ambo ya pili ya Yokimamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)