1 Kings 4:16 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baana mwana wa Hushai, alisimamia wilaya ya Asheri na Bealothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baana mwana wa Hushai, katika Asheri na Bealothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baana mwana wa Hushai, alisimamia wilaya ya Asheri na Bealothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Alothi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baana mwana wa Hushai, katika Asheri na Bealothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baana mwana wa Hushai, alisimamia wilaya ya Asheri na Bealothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baana, mwana wa Husai, alikuwako Aseri na Baloti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baana mwana wa Hushai, katika Asheri na Bealothi.