1 Kings 4:2 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wafuatao walikuwa baadhi ya maofisa wake wa vyeo vya juu: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa kuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio wakuu aliokuwa nao; Azaria mwana wa Sadoki, kuhani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wafuatao walikuwa baadhi ya maofisa wake wa vyeo vya juu: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa kuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio wakuu aliokuwa nao; Azaria mwana wa Sadoki, kuhani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wafuatao walikuwa baadhi ya maofisa wake wa vyeo vya juu: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa kuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao hawa walikuwa wakuu wake: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa mtambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)