1 Kings 4:23 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ng'ombe wanono kumi, na ng'ombe wa kundini ishirini, kondoo 100 pamoja na kulungu, paa, swala na kuku wanono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ng’ombe kumi wa zizini, ng’ombe ishirini wa malisho, kondoo na mbuzi mia moja, pamoja na ayala, paa, kulungu na kuku wazuri sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ng'ombe kumi walionona, na ng'ombe ishirini za malisho, na kondoo mia, pamoja na ayala, na paa, na kulungu, na kuku walionona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ng'ombe wanono kumi, na ng'ombe wa kundini ishirini, kondoo 100 pamoja na kulungu, paa, swala na kuku wanono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ng'ombe kumi wa zizini, ng'ombe ishirini wa malisho, kondoo na mbuzi mia moja, pamoja na ayala, paa, kulungu na kuku wazuri sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ng’ombe kumi wa zizini, ng’ombe ishirini wa malisho, kondoo na mbuzi mia moja, pamoja na ayala, paa, kulungu na kuku wazuri sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ng'ombe kumi walionona, na ng'ombe ishirini za malisho, na kondoo mia moja, pamoja na ayala, na paa, na kulungu, na kuku walionona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ng'ombe wanono kumi, na ng'ombe wa kundini ishirini, kondoo 100 pamoja na kulungu, paa, swala na kuku wanono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena ng'ombe 10 waliononeshwa na ng'ombe 20 wa malishoni na kondoo 100, tena kulungu na paa na funo na mabata waliononeshwa hawakuhesabiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ng’ombe kumi walionona, na ng’ombe ishirini za malisho, na kondoo mia, pamoja na ayala, na paa, na kulungu, na kuku walionona.