1 Kings 4:24 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, nchi yote magharibi ya mto Eufrate: Kutoka Tifsa mpaka mji wa Gaza, ilikuwa chini ya utawala wake. Wafalme wote magharibi ya mto Eufrate walikuwa chini yake, na alikuwa na amani na nchi zote jirani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Sulemani alitawala falme zote magharibi ya Mto, kuanzia Tifsa hadi Gaza, naye akawa na amani pande zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani alikuwa akitawala nchi yote upande huu wa Mto, toka Tifsa mpaka Gaza, juu ya wafalme wote wa upande huu wa Mto; naye alikuwa na amani pande zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, nchi yote magharibi ya mto Eufrate: kutoka Tifsa mpaka mji wa Gaza, ilikuwa chini ya utawala wake. Wafalme wote magharibi ya mto Eufrate walikuwa chini yake, na alikuwa na amani na nchi zote jirani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Solomoni alitawala falme zote magharibi ya mto, kuanzia Tifsa hadi Gaza, naye akawa na amani pande zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Sulemani alitawala falme zote magharibi ya mto, kuanzia Tifsa hadi Gaza, naye akawa na amani pande zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani alikuwa akitawala nchi yote upande huu wa Mto, toka Tifsa mpaka Gaza, juu ya wafalme wote wa upande huu wa Mto; naye alikuwa na amani pande zake zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, nchi yote magharibi ya mto Eufrate: Kutoka Tifsa mpaka mji wa Gaza, ilikuwa chini ya utawala wake. Wafalme wote magharibi ya mto Eufrate walikuwa chini yake, na alikuwa na amani na nchi zote jirani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alikuwa akizitawala nchi zote za ng'ambo ya huku ya lile jito kutoka Tifusa hata Gaza, nao wafalme wote wa ng'ambo ya huku ya lile jito aliwatawala, kukawa na utengemano katika nchi zake zote zilizomzunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani alikuwa akitawala nchi yote upande huu wa Mto, toka Tifsa mpaka Gaza, juu ya wafalme wote wa upande huu wa Mto; naye alikuwa na amani pande zake zote.