1 Kings 4:26 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alikuwa na vibanda 40,000 kwa ajili ya farasi wa magari yake ya kukokotwa, na askari wapandafarasi 12,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani alikuwa na mabanda elfu nne ya magari ya vita, na farasi elfu kumi na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Sulemani alikuwa na mabanda ya farasi arobaini elfu kwa magari yake, na wapandao farasi kumi na mbili elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alikuwa na vibanda 40,000 kwa ajili ya farasi wa magari yake ya kukokotwa, na askari wapandafarasi 12,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni alikuwa na mabanda 4,000 ya magari ya vita, na farasi 12,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani alikuwa na mabanda 4,000 ya magari ya vita, na farasi 12,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Sulemani alikuwa na mabanda ya farasi elfu arobaini kwa magari yake, na wapandao farasi elfu kumi na mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alikuwa na vibanda 40,000 kwa ajili ya farasi wa magari yake ya kukokotwa, na askari wapandafarasi 12,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo alikuwa na majozi ya farasi 40000 ya magari yake, tena wapanda farasi 12000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Sulemani alikuwa na mabanda ya farasi arobaini elfu kwa magari yake, na wapandao farasi kumi na mbili elfu.