1 Kings 4:28 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zamu ya kila mmoja ilipofika, alipeleka pia shayiri na majani ya kulisha farasi na wanyama waendao kasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia walileta kiasi walichopangiwa cha shayiri na majani kwa ajili ya farasi wa magari ya vita na farasi wengine mahali palipostahili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shayiri pia na majani kwa farasi, na kwa wanyama wenye mbio, wakaleta mahali walipokuwapo, kila mtu kwa kadiri ya kazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zamu ya kila mmoja ilipofika, alipeleka pia shayiri na majani ya kulisha farasi na wanyama waendao kasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia walileta sehemu walizopangiwa za shayiri na majani kwa ajili ya farasi wavutao magari na farasi wengine mahali palipostahili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia walileta sehemu walizopangiwa za shayiri na majani kwa ajili ya farasi wavutao magari na farasi wengine mahali palipostahili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shayiri pia na majani kwa farasi, na kwa wanyama wenye mbio, wakaleta mahali walipokuwapo, kila mtu kwa kadiri ya kazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zamu ya kila mmoja ilipofika, alipeleka pia shayiri na majani ya kulisha farasi na wanyama waendao kasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mtama na mabua ya ngano ya farasi wa kupanda na wa magari wakayapeleka mahali hapo, alipokuwa, kila mtu hapo, alipoagizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)