1 Kings 4:31 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwashinda watu wote kwa hekima; aliwashinda Ethani, yule Mwezrahi, Hemani na Kalkoli na Darda, wana wa Maholi; na sifa zake zilienea katika mataifa yote jirani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa na hekima kuliko kila mwandishi, akiwemo Ethani Mwezrahi; kuliko Hemani, Kalkoli na Darda, wana wa Maholi. Umaarufu wake ukaenea kwa mataifa yote yaliyomzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa alikuwa na hekima kuliko watu wote; kuliko Ethani Mwezrahi, na Hemani, na Kalkoli, na Darda, wana wa Maholi; zikaenea sifa zake kati ya mataifa yote yaliyozunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwashinda watu wote kwa hekima; aliwashinda Ethani, yule Mwezrahi, Hemani na Kalkoli na Darda, wana wa Maholi; na sifa zake zilienea katika mataifa yote jirani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa na hekima kuliko kila mwandishi, akiwemo Ethani Mwezrahi: kuliko Hemani, Kalkoli na Darda, wana wa Maholi. Umaarufu wake ukaenea kwa mataifa yote yaliyomzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa na hekima kuliko kila mwandishi, akiwemo Ethani Mwezrahi: kuliko Hemani, Kalkoli na Darda, wana wa Maholi. Umaarufu wake ukaenea kwa mataifa yote yaliyomzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa alikuwa na hekima kuliko watu wote; kuliko Ethani Mwezrahi, na Hemani, na Kalkoli, na Darda, wana wa Maholi; zikaenea sifa zake kati ya mataifa yote yaliyozunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwashinda watu wote kwa hekima; aliwashinda Ethani, yule Mwezrahi, Hemani na Kalkoli na Darda, wana wa Maholi; na sifa zake zilienea katika mataifa yote jirani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa mwerevu wa kweli kuliko watu wote pia, akamshinda naye Etani wa Ezera na Hemani, hata Kalkoli na Darda, wana wa Maholi; jina lake likasifiwa katika mataifa yote pande zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)