1 Kings 4:32 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitunga methali 3,000 na nyimbo 1,500.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akanena mithali elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano (1,005).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akanena mifano elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitunga methali 3,000 na nyimbo 1,500.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akanena mithali 3,000 na nyimbo zake zilikuwa 1,005.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akanena mithali 3,000 na nyimbo zake zilikuwa 1,005.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akanena mifano elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitunga methali 3,000 na nyimbo 1,500.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema mifano 3000, nazo nyimbo zake zikawa 1005.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akanena mifano elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano.