1 Kings 4:34 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu kutoka mataifa yote, na wafalme wote waliopata kusikia habari kuhusu hekima yake, walikuja kumsikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa mataifa yote wakaja kusikiliza hekima ya Sulemani, wakiwa wametumwa na wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamesikia kuhusu hekima yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaja wa mataifa yote ili waisikie hekima ya Sulemani, toka wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamepata habari za hekima yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu kutoka mataifa yote, na wafalme wote waliopata kusikia habari kuhusu hekima yake, walikuja kumsikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa mataifa yote wakaja kusikiliza hekima ya Solomoni, waliotumwa na wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamesikia juu ya hekima yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa mataifa yote wakaja kusikiliza hekima ya Sulemani, waliotumwa na wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamesikia juu ya hekima yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakaja kutoka mataifa yote, toka wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamepata habari za hekima yake, ili waisikie hekima ya Sulemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu kutoka mataifa yote, na wafalme wote waliopata kusikia habari kuhusu hekima yake, walikuja kumsikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wakaja na kutoka katika makabila yote, wausikilize werevu wa kweli wa Salomo, wakatoka hata kwa wafalme wote wa huku nchini waliopata habari ya werevu wake wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaja wa mataifa yote ili waisikie hekima ya Sulemani, toka wafalme wote wa ulimwengu, waliokuwa wamepata habari za hekima yake.