1 Kings 4:6 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahishari alikuwa mkuu wa ikulu na Adoniramu mwana wa Abda, alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahishari: msimamizi wa jumba la kifalme; Adoniramu mwana wa Abda: msimamizi wa kazi za kulazimisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Ahishari alikuwa juu ya nyumba; na Adoramu mwana wa Abda alikuwa juu ya shokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahishari alikuwa mkuu wa ikulu na Adoniramu mwana wa Abda, alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahishari: msimamizi wa jumba la kifalme; Adoniramu mwana wa Abda: msimamizi wa kazi za kulazimisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahishari: msimamizi wa jumba la kifalme; Adoniramu mwana wa Abda: msimamizi wa kazi za kulazimisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Ahishari alikuwa mkuu wa nyumba ya mfalme; na Adoramu mwana wa Abda alikuwa msimamizi wa shokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahishari alikuwa mkuu wa ikulu na Adoniramu mwana wa Abda, alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahisari alikuwa mkuu wa nyumbani, naye Adoniramu, mwana wa Abuda, alikuwa mkuu wa kazi za nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)